Kakika mulikuwa mumetukata tamaa kabisa ju kukawiya sana vraiment muwanza kutuchangamushiya mambo haraka sana kabisa ina na wependa sana❤❤❤❤❤❤❤ na ma uwa île kwa timu hôte kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 na endeleyea kuwafata nikiwa congo
❤🏆 *Dah! Hiyo scene ya KP kumpulizia dawa huyo jamaa mwenye pisto halafu akaruka kitandani PABLO akapiga teke bastora ikaenda kwa KP mmetisha sana 😂🌹 Maua yenu tafadhari... Yaani hiyo scene aise! 😂 Mimi ni yule yule kaka ake SHEY SHEY WA AKWINO*
Kila siku simu yangu inazingua sijui kwanini ndo maana nakuaga wa mwisho ayah bhan mi kuanzia sasa hiv siwezi ishi bila pabloo na kam unampenda pabloo kwenye hii movie ya albastin mpe🎉🎉🎉 yake❤❤❤❤
😂 *PABLO 🌹 Umenikumbusha dogo mmoja alitisha sana zamani kidogo kwenye filamu iitwayo MJOMBA, NIMEOKOKA n.k alikuwa anaitwa SAM akiwa na akina KALAN 😂*
Hapo kp nimekuelewa kweli umefungua kodi kwa anaemkubali kp like ziende kwake zote
Mungu atujalie mwisho mwema wote tunao angalia albastini🙏🙏
Amiin ya rabb
Allahumma amiin🤲
Amiin🤲🤲
Mimi Leo wakwanza from Mozambique naombeni likes jaman ata 3 tu 😂😂
Estamos juntos irmão
From AMERICAN
@douglasmuthee1458 good 👍🏾
@@TeresaTobiasZacarias yah
Kakika mulikuwa mumetukata tamaa kabisa ju kukawiya sana vraiment muwanza kutuchangamushiya mambo haraka sana kabisa ina na wependa sana❤❤❤❤❤❤❤ na ma uwa île kwa timu hôte kabisa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 na endeleyea kuwafata nikiwa congo
Kenyan first guy
Wow my favorite movie kp n pablo nawapenda sana kwa hii movie cjui niwape zawadi gani kwa kweli mnajua adi mwakera
Vipenzi Nawapenda wapedwa wote mungu awalinde kp zebuu tim yako❤❤❤❤
Kaz nzur sana team kp mungu awape nguvu na maisha marefuu sanaaa🥰🥰
Jamani nimeiwayi leo nimekuwa wa kwanza nawapenda sana jamani❤❤❤ mwenyezi mungu awatiye nguvu nawapenda sana sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Eeeh Pablo toooshaaa❤❤❤❤❤nakukubali sana tabasamu la katuni hisia za mdoli😂😂😂
Mume Tisha sanaaa
Hongereni kwa kazi nzuri tem kp
Gonga like apaaa km ume furahia kz nzuri ya tm kp
Watu mbona hamulali jameni dakika 13 musha kuwa wengi🎉🎉🎉.Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
gogo nawe unafatilia kp?😀watu wa 🇧🇮 kujeni hapa 😂
Wooow ni mechelewa but better later than never wa kenya wenzangu like jamani hata kama kumi
Kp hongera sana,kazi nzuri sana,mimi na fatiliya ku toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
❤🏆 *Dah! Hiyo scene ya KP kumpulizia dawa huyo jamaa mwenye pisto halafu akaruka kitandani PABLO akapiga teke bastora ikaenda kwa KP mmetisha sana 😂🌹 Maua yenu tafadhari... Yaani hiyo scene aise! 😂 Mimi ni yule yule kaka ake SHEY SHEY WA AKWINO*
Mm nmerudia mara 3😂
Nilikuwa nakutf broo umebadili picha tatzoo pamja broo
Jamn nlikuwa nakutafuta dear
Mim nimepaludia mala mbili
Yani naingia namtafuta yeye kumbe kabadili picha 😂😂😂😂@@fatumasephu-v1d
Hii ndio ipindi Ya kiswahili nimependa na nitaifuatilia mpaka mwisho✅👍👍wakenya tuweke 👍
Hatimae mzee equino ameamka 😊😊😊
Ilaa ayo mahesabu mi ndio yananikosha jmn mpk nimeachaanza kuchart kwa kodi pk +adpol +inoaamn😅😅😅😅
Nawa kubali sana ata anae soma hiii comment nawapenda sana mungu awabariki jaman
Aki kp ndo ukunywe maji yakuosha nguo kweli jamani. ..nice job guys much love from 254
Nyie hasira achenii inauma mpaka m2 analia ni atari. You see Pablo you people haya mambo yapo.
Big up Kp and Zebuuu
Kazi nzuri sana ,kisai uko safi sahii umenyowa🎉🎉🎉
Bona nampenda kp aki ,love from Kenya 🎉🎉
Kp kazi nzuri shunja wangu liko ipo wapi ama ndo ameteka baba
Weee Pablo Acha kuwapinga Sana utawavuja mbavu.
Oy Pablo umetisha mwanangu sio kwa mangumi hayo kak Big up🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kenya njoonii🎉🎉🎉🎉🎉
Dah hakuna movie tamu kuliko albastini walae,, wapi like za team kp🎉🎉🎉
Ambao tunataka kp ashinde tujuane😊
Jamani Pablo uwe unapiga polepole basi😂😂😂
Kp muko sawa na pabulo❤❤
Pabulo ndo nani
Yaani Pablo anatolea mwingine hasira za bubu😂😂😂😂
Wa kwanza leo jamani, from kenya
Naombeni likes zangu😊😊😊
Big up sana kwa kweliiii muda safiii wa kwanza from Bdi 🎉🎉🎉🎉🎉
Jamani Pablo nakukubali sana umeziba pengo la Sheila chukua mauwa yako🥀🌹🥀🌹🥀🌹
Kp kaziyako ni nzuri sana ila una tchelewa mzee
Kazi nzuri from Kenya Diani Ukunda
Kila siku simu yangu inazingua sijui kwanini ndo maana nakuaga wa mwisho ayah bhan mi kuanzia sasa hiv siwezi ishi bila pabloo na kam unampenda pabloo kwenye hii movie ya albastin mpe🎉🎉🎉 yake❤❤❤❤
Wanaokubaliana na mm kuwa albastin ni bonge la movie yenye mafundisho makubwa sana kwenye jamii gonga like hapa nawapenda sana mashabiki❤
Pablo anauchungu utafkir izo mali za kp zinamhusu😮
Ah pablo ni my favorite asante kwa part14
Nimefurahia mzee kuamka tena 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kp kakaa Nakukubali sana wewe ndio unae endeleza movie zaid tatu nne Kwa pamoja apa RUclips na zote ni Kali! 🥰😌✌️
Hesabu Kali sanaa hio
Hisia za mdoli tabasamu la katuni 45 Pablo Team fulusi wakwanza mm from tz 🇹🇿 to 🇴🇲🇴🇲
Tupooo team fulusiiapaa😂😂
Nzr sanaaaaaaaa kaz y KP n ya uhakika
Nimengoja sana akh thanks but 15 make sure ijakaa sana🇰🇪
Wooow!🥰🥰kp umerukaje hapo na kukamata hio pstul 😂😂😂Hadi raha
Dah mnachelewa sana hadi mnaboa
Pabloooo jamani kua na hurumaaa😂😂😂
Pablo anapenda kupiga vibaya mpaka kp anaogopa jaman. Pablo punguza dah😅😅😅😅😅
Hana hata huruma jamani
Kazi nzuri kp
Wow hesabu kwa kp manenos hongera❤❤
Ila mzee likoma ety LAHAULLAAH
Pablo akianza kuua hasikii la mwadhini du😂😂😂😂😂
Na vyenye mnlala RUclips wadau jamn mauwa yenu😂19m watu 120 mm wa 121❤❤mob love kwanu from kenya
Watuu na mnajaa harakaa😂😂,,
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Kaz nzuri vipenzi
Haai kwani mulikua mnaizubili sana, nafikili nimetangulia kumbe wapi😅😅😅
Wa kwanza toka Congo mtu aki like comment yangu, nitarudiya Ku visual iyi vidéo
First one
Tumsifu yesu ndugu zangu 🎉🎉🎉🎉
Milele Amina
Da watu mko makini hatari du😂😂😂
Jamn 2napend kaz zenu ninzur sana tena San Ila 2naomba hata kwa wik mtowe vipand hat viwil
Pablo jaman 🤣🤣🤣🤣kwenye hii move uliweza Wallah 🎉🎉🎉🎉from Kenya 🇰🇪
Kp congratulations
Tuliokimbia hesabu tujuane Pablo wee mwenzangu 😂😂😂
Kutoka kwimba mwanza maua yangu🎉🎉 nimewahi
Mimi nimekuwa mtu wa elfu mia moja kuona naombeni likes jamani 😂😂😂😂
Watuu hamlalii dk 22 utazanii janaaa mmetishaaa.sana
Kp uko vizuri xnaaa kwa Maths congratulations
Wakwanza nipeni like 10000❤
Amsalimie marehemu kanumba Pablo jamani😂😂😂😂
Hongera kp
Mimi leo watatu from Kenya
Binadamu damumu😂😂😂😂 pabloo umejua kunichekesha bhan😂😂😂😂 nawapenda sana jama
Munamtafuta mutu mwenye akona kula pata😂😂😂😂😂 acheni like
Nami lzo nimewahi kwamara yakwanza nasijawzhi kupewa like hatasiku moja lakini na enjoy sana na albastin🎉🎉🎉🎉
Watu mpo makini sekunde tu tayari mshajaaa😂😂😂
Pablo ndo mdoli mwenyw sasa 😂😂😂❤
Cja cherewa sana hongeren 🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉
Nice 🎉🎉🎉
Pabro anaupiga mwingi🎉
Pabloooooo🎉🎉🎉🎉🎉 tabasamuu la mdolii
Ila Pablo apewe chakula kingi ubebe MTU Na gas my friend
Daaaah!!! Pablo ana hasira
Ata mm mnipatie likes aki
Bablo wàaaaaaaaa unajua mwenye asha kufa
Mm nae cjawai kosa kulike ata moja ❤
Mnaona aje mkilike lakini sijaomba
😂 *PABLO 🌹 Umenikumbusha dogo mmoja alitisha sana zamani kidogo kwenye filamu iitwayo MJOMBA, NIMEOKOKA n.k alikuwa anaitwa SAM akiwa na akina KALAN 😂*
😂😂😂 ndo huyu sasa karithi
@@joelinyembe8000 😁😁😁👉👉😁😁
We Pablo mbona hatari sana mwanangu umetisha sana anyway am from Mombasa Kenya ❤
From Kenya, we ❤you guys
Wakwanza kutoka Dom naomben like 🎉🎉
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
Leo nimekuwa wa kwanza anae penda kp kuwa mshindi gonga like ❤❤❤
Kp zebuu anakuchezea mchezo kwa hiyo jiandae
Me no291 nimewahi kwa nafasi yangu niwatakie maandalizi mema ya pasaka❤❤🎉
Wa 50 naomb like 😂😂😂
Uwakika sana